• KUJIUNGA NA DART SACCOS

  mtumishi wa DART, mtu yoyote aliyeajiriwa sekta ya utumishi wa umma, mtu yoyote anayetokana na familia ya mtumishi wa DART i.e wenza na watoto pamoja na mmiliki au kampuni ya biashara ya usafirishaji Dar es Salaam.
 • KUJIUNGA NA DART SACCOS
  \
  Kujaza fomu ya kujiunga inayopatikana ofisi za DART WORKERS SACCOS LTD au kwenye tovuti ya chama.
  1. 1. Kulipa ada ya kiingilio 200,000 na
  2. 2. Kulipa angalau hisa 10 @50,000
 • HUDUMA ZA KIFEDHA

  Mwanachama anaruhusiwa kuweka Akiba (savings) au kulipa deni la DART WORKERS SACCOS LTD kupitia benki. Malipo yoyote yanayofanyika kwa mwanachama ni kwa njia ya Hundi au kwenye akaunti yake.

Kutoa mikopo ya dharura

Kiwango cha juu cha mkopo ni shilingi 1,000,000 na inatozwa riba asilimia 2% kwa mwezi.

Soma zaidi...

Mikopo ya biashara

Kiwango cha juu cha mkopo huu ni mara tatu (3) ya Akiba na mwanachama hutozwa riba ya 0.83%.

Soma zaidi...

Mikopo ya Maendeleo

Kiwango cha juu cha mkopo huu ni mara tatu (3) ya Akiba na kutoza riba ya 0.83%.

Soma zaidi...
Awesome Image

Chevawe C. Mberesero, Mwenyekiti

Historia

DART Saccos

Chama kilichoanzishwa kwa madhumuni ya kustawisha na kuboresha hali za Maisha ya wanachama wake.

Ushirika huu ulianzishwa mwaka 2022 ikiwa na wanachama 88 na kusajiliwa rasmi tarehe 30 Mei,2023.

Kwanini Ujiunge na DART SACCOS
01

Uanachama

DART SACCOS inawahudumia watumishi wote wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART), muajiriwa yoyote kutoka sekta ya utumishi wa umma, mtu yoyote kutoka familia ya mtumishi wa DART ambao ni wenza na watoto pamoja na mmiliki au kampuni ya biashara ya usafirishaji

02

Kimesajiliwa

DART SACCOS ni chama imara kilichosajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya ushirika, Sheria Namba 6 ya mwaka 2013, chenye malengo mapana ya kutoa huduma bora ya kifedha yenye lengo la kuwainua wanachama wake kiuchumi na kijamii kwa mujibu wa Sheria, kanuni na za vyama vya ushirika.

03

Huduma Bora

DART SACCOS hutoa huduma bora kwa wakati kama: Kuuza hisa kwa wanachama, Kutoa mikopo ya dharura, Kutoa Mkopo hakuna makasiriko, Mkopo wa sikukuu Kutoa mikopo ya kulipia ada kwa wanachama, mtoto au tegemezi yeyote anayemuhusu mwanachama, Mikopo ya Maendeleo, Mikopo ya viwanja, Kulipa riba akiba za wanachama.

Shuhuda

kutoka kwa wanachama wetu

Christopher Mabada

Ubungo
Awesome Image

Nimenufaika na mikopo ambayo nimekua nikipata DART SACCOS kwa ajili ya kujiendeleza kwenye miraadi, kusambaza mikate katika maduka ya jumla na pia nimeweza kujenga nyumba yangu yakuishi maeneo ya kitunda.

Halima Kandoro

Temeke
Awesome Image

Nimenufaika na mikopo ambayo nimekua nikipata DART SACCOS kwa ajili ya kujiendeleza kwenye miraadi, kusambaza mikate katika maduka ya jumla na pia nimeweza kujenga nyumba yangu yakuishi maeneo ya kitunda.

Silla Raphael

Temeke
Awesome Image

Nimenufaika na mikopo ambayo nimekua nikipata DART SACCOS kwa ajili ya kujiendeleza kwenye miraadi, kusambaza mikate katika maduka ya jumla na pia nimeweza kujenga nyumba yangu yakuishi maeneo ya kitunda.

Msaada masaa 24

Wasiliana Nasi

Jumatatu - Ijumaa: Saa 2:30 Asubuhi - 10:00 Jioni

Jumamosi : Saa 2:30 Asubuhi - 10:00 Jioni

Jumapili : Saa 2:30 Asubuhi - 10:00 Jioni

Tuma Ujumbe

Tuachie ujumbe wako hapa na utajibiwa ndani ya saa 24, Usisite kuuliza chochote.

Taarifa & Matangazo

Matangazo Muhimu

VACANCY ANNOUNCEMENT

POSITION - MANAGER (1 POST)

Soma zaidi